TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Monday, February 14, 2011

    TMH 3rd Anniversary Watoto Fun Day 27/11/2010 @TMH Fun Centre Kigamboni

     Ilikuwa ni siku ya furaha kwa watoto kwani walipata bahati ya kujumuika na washiriki wa Bongo Star Search katika mlo huu wa mchana

    Muanzilishi na Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House Mbunifu wa Mavazi -Khadija Mwanamboka
    akiwakaribisha Watoto na Wageni waalikwa katika sherehe ya kutimiza Miaka Mitatu ya TMH
    Mtoto kutoka kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS akifurahia Bembea
    TMH Fun Centre ni kituo maalum  cha kuchezea watoto yatima
     Kimedhaminiwa na
     Bwana na Bibi AL SAID, BENCHMARK PRODUCTIONS,RBP OIL & INDUSTRIAL TECHNOLOGY,URBAN PULSE,IKU LAZARO NA FATMA SAAD


     Baadhi ya Watoto walioalikwa kutoka vituo vya kulelea watoto yatima 
     Tupilia mbali nafasi walizonazo katika jamii inayowazunguka kutokana na kazi wanaofanya.. Rehema Samo na Marsha Seif waliwahudumia watoto...
     Wageni Jenifa Pemba na Salma Msangi Mziray walijumuika nasi....
     Chakula cha mchana kiliandaliwa  wageni  na watoto tulijumuhika kwa pamoja kusherehekea TMH  kutumiza miaka 3
     Wadhamini wakuu wa shughuli  Double Tree by Hilton walitoa zawadi kwa ajili ya watoto
                                  Mama wa 8020fashions Shamim mwasha na binti yake Iqra walikuwepo
    Picha ya pamoja katika lango la kuingia


     Watoto  kutoka New Life Orphanage Centre walijumuika nasi.....
                                            Mbunifu wa mavazi Jamila Swai na muanzilishi wa TMH akisakata kabumbu....
     "Sishiki tama kuonyesha mauzuniko ila ni mawazo juu ya upendo wa Mungu juu yangu mpaka kunikutanisha na nyinyi niwaitao baba, mama,dada au kaka ambao siku zote mmekuwa mkinikumbuka kwa lolote...Asanteni sana na nawapenda sana" Edwin mtoto anaelelewa na TMH Magomeni Mikumi Mtaa wa Mtambani Nyumba Number 160
    Fiderine Iranga,legendary super model, the supervisor Martin Kadinda na Rehema Samo walikuwepo..
    Shukurani za Dhati kwa wadhamini wa shughuli hii
    DOUBLE TREE BY HILTON
    TRIPOD MEDIA
    JAMBO AFRICA CHILD HOPE
    KIONDO COMMUNICATIONS INTERNATIONAL

    0 comments: