TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
 • Popular Posts

  Blog Archive

  About Me

  My Photo
  Dar Es Salaam, Tanzania
  Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
  Thursday, May 31, 2012

  TMH ORPHANAGE CENTRE - TIME TO PLAY

  NESTLE WAADHIMISHA SIKU YA MAZIWA DUNIANI KWA KUTOA MSAADA KWA VITUO VITATU VYA KULELEA WATOTO YATIMA

  WATOTO WA CHAKUWAMA WAKIPOKEA MSAADA KUTOKA NESTLE

  MSAADA ULIOTOLEWA NA NESTLE NI WA THAMANI YA SHILLINGI MILLIONI 5
  WALITOA MAZIWA YA NIDO,UNGA WA SEREVITA NA MILO
  LENGO KUU NI KUWAPA WATOTO VIRUTUBISHO MUHIMU MWILINI VINAVYOPATIKANA KWENYE BIDHAA HIZI
  MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE AKISHUKURU NESTLE KWA MSAADA KWA NIABA YA KITUO CHA TANZANIA MITINDO HOUSE ORPHANAGE CENTRE
  KITUO CHA TATU KILICHOPATIWA MSAADA NI UMRAA

  WATOTO KUTOKA KITUO CHA CHAKUWAMA WAKIFURAHIA MSAADA KUTOKA NESTLE

  KWA NIABA YA TANZANIA MITINDO HOUSE NA WALENZI WENGINE NAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA KAMPUNI YA NESTLE KWA MSAADA WA BIDHAA HIZO ZITAKAZO SAIDIA SANA KUJENGA MWILI WA WATOTO WETU
  MUNGU AWABARIKI NA MUENDELEE NA MOYO WA KUWAKUMBUKA WATOTO HAWA WANAHITAJI MALEZI,MAPENZI NA MAENDELEO KAMA WATOTO WENGINE WENYE WAZAZI

  HONGERA NESTLE
  Wednesday, May 30, 2012

  MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE AKUTANA NA MWENYEKITI WA LABEL YA CACHAREL PARIS 23 MAY 2012

  Saturday, May 26, 2012

  TMH TEAM AT UNESCO AFRICA WEEK CELEBRATIONS IN PARIS

  WITH HON. BEGUM TAJ
  AMBASSODOR OF TANZANIA PARIS

  RWANDA


  NIGERIA
  TALENTED CHILDREN FROM ORPHANAGE CENTRE  ALGERIA
  KHADIJA,ZAMDA AND MALE MODEL/DJ TINO

  TMH TEAM WITH KAKA SALUM aka SAM


                                                      UNESCO HEADQUARTERS PARIS

  Friday, May 25, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE APPRECIATES THE KIND AND HOSPITALITY RECEIVED IN PARIS BY HON. BEGUM TAJ AND HER TEAM AT THE EMBASSY OF TANZANIA PARIS

                                         KHADIJA MWANAMBOKA AND HON.BEGUM TAJ
                                         AMBASSODOR OF TANZANIA PARIS
  KHADIJA AND JUDICA OF OUR EMBASSY IN PARIS
  Thursday, May 24, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE YANG'ARA NA STYLE MOTO MOTO KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA PARIS USIKU WA JANA WESTIN HOTEL PARIS


  MBUNIFU ZAMDA GEORGE AKIWA NA WANAMITINDO WALOVALIA MAVAZI YAKE
  MBUNIFU NA MWENYEKITI WA TMH KHADIJA MWANAMBOKA AKIWA NA WANAMITINDO WALOVALIA MAVAZI YAKE
  MWENYEKITI WA TMH AKICHEZA NGOMA NA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO MHE MARY NAGU PAMOJA NA BALOZI WA TANZANIA PARIS MHE BEGUM TAJ                                                               STYLE MOTO MOTO PARIS
                                                            UBUNIFU WA ZAMDA GEORGE


                                                 UBUNIFU WA KHADIJA MWANAMBOKA


  WANAMITINDO  MUSTAFA HASSANALI

                                                                       EDNA SILVER
                                                                         EDNA SILVER
  KHADIJA MWANAMBOKA NA BALOZI WA TANZANIA PARIS MHE BEGUM TAJ

                                                                            KIM DEAN
                                                                         EDNA SILVER
  ZAMDA GEORGE
  EVE COLLECTION


                                      VITU VYA KHADIJA BY KHADIJA MWANAMBOKA


  Monday, May 21, 2012

  WE AT TANZANIA MITINDO HOUSE ARE VERY PROUD OF OUR AMBASSODOR FLAVIANA MATATA AND HER FOUNDATION FMF

  FLAVIANA MATATA FOUNDATION TODAY COMMEMORATED 16 YEARS OF THE MV BUKOBA SHIP WHICH KILLED ALOT OF TANZANIANS INCLUDING FLAVIANA'S MOTHER - SHE DONATED 500 HUNDRED LIFE SAVING JACKETS
  MAY GOD BLESS YOU
  FLAVIANA MATATA
  Sunday, May 20, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE YAPELEKA STYLE MOTO MOTO PARIS

  MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA NA MBUNIFU ZAMDA GEORGE WAKIWA NA MWENYEJI WAO BALOZI WA TANZANIA PARIS MHE BEGUM TAJ

   KHADIJA MWANAMBOKA NA ZAMDA GEORGE
  KHADIJA MWANAMBOKA MBELE YA MNARA WA PARIS

  KHADIJA,ZAMDA,KASHIDE NA HASNATI
  WATANZANIA WAISHIO PARIS
  LEO MCHANA

  TANZANIA MITINDO HOUSE STYLE MOTO MOTO ITAFANYIKA ALHAMIS HII KATIKA HOTEL YA ACADEMIE DIPLOMATIQUE INTERNATIONALE PARIS
  Thursday, May 17, 2012

  TIGU INC PRESENTS - TMH STYLE MOTO MOTO IN HOLLYWOOD JUNE 9TH 2012

                                          PLEASE BUY YOUR TICKET NOW -www.tiguinc.com
                                         A FASHION SHOW BY TANZANIA MITINDO HOUSE
  Tuesday, May 15, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE-DICOTA 2011 U.S.A


  Monday, May 14, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE FUN CENTRE  Friday, May 11, 2012

  THE RIGHT TO PLAY AND EXPRESSE THEMSELVES REGARDLESS OF THEIR STATUS,BACKGROUND AND CONDITION


                   TANZANIAN CHILDREN WITHOUT PARENTS, LIVING IN ORPHANAGES
  ENJOYING AT TANZANIA MITINDO HOUSE FUN CENTRE IN KIGAMBONI
  Thursday, May 10, 2012

  TMH CHILDREN,DESIGNERS AND SUPPORTERS AT TMH FUN CENTRE KIGAMBONI


  Wednesday, May 9, 2012

  STYLE MOTO MOTO 2012 - MAY - JUNE

                                               MODEL ANNA IN FARHA SULTAN DESIGN
                                      STYLE MOTO MOTO APRIL 2011
  Sunday, May 6, 2012

  TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA 2007

  MODEL VICTORIA MARTIN IN ALLY REMTULAH'S DESIGN
  Friday, May 4, 2012

  TANZANIA MITINDO HOUSE - WATOTO FUN DAY

                                          DESIGNER MARTIN KADINDA SHOWING LOVE
  COMEDIAN EVANS BUKUKU PLAYING WITH KIDS FROM DIFFERENT ORPHANAGES
                         ALL PICTURES TAKEN AT TMH FUN CENTRE KIGAMBONI