TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Thursday, May 31, 2012

    NESTLE WAADHIMISHA SIKU YA MAZIWA DUNIANI KWA KUTOA MSAADA KWA VITUO VITATU VYA KULELEA WATOTO YATIMA

    WATOTO WA CHAKUWAMA WAKIPOKEA MSAADA KUTOKA NESTLE

    MSAADA ULIOTOLEWA NA NESTLE NI WA THAMANI YA SHILLINGI MILLIONI 5
    WALITOA MAZIWA YA NIDO,UNGA WA SEREVITA NA MILO
    LENGO KUU NI KUWAPA WATOTO VIRUTUBISHO MUHIMU MWILINI VINAVYOPATIKANA KWENYE BIDHAA HIZI
    MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE AKISHUKURU NESTLE KWA MSAADA KWA NIABA YA KITUO CHA TANZANIA MITINDO HOUSE ORPHANAGE CENTRE
    KITUO CHA TATU KILICHOPATIWA MSAADA NI UMRAA

    WATOTO KUTOKA KITUO CHA CHAKUWAMA WAKIFURAHIA MSAADA KUTOKA NESTLE

    KWA NIABA YA TANZANIA MITINDO HOUSE NA WALENZI WENGINE NAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA KAMPUNI YA NESTLE KWA MSAADA WA BIDHAA HIZO ZITAKAZO SAIDIA SANA KUJENGA MWILI WA WATOTO WETU
    MUNGU AWABARIKI NA MUENDELEE NA MOYO WA KUWAKUMBUKA WATOTO HAWA WANAHITAJI MALEZI,MAPENZI NA MAENDELEO KAMA WATOTO WENGINE WENYE WAZAZI

    HONGERA NESTLE

    0 comments: