TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Monday, February 14, 2011

    TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA @ Double Tree by Hilton 23/12/2010

     Wageni waalikwa mbali mbali walipata nafasi ya kupita katika Red carpet, Martin Kadinda na Sarah Raqey wakipata picha ya pamoja...
     Bijoux with gloves mkononi looking fly
     Belina Mgeni model wa muda mrefu akiwa mbele ya camera doing her thing
     Kili janga,Bella Msilanga na Halima Kamusi wakipita juu ya Dhulia jekundu
     Jokate Mwegelo with cute smile............
     Nikimuita dolly parton nitakosea??? Rehema Samo mamaa wa makeup bongo.....

     Penny akiwa na wadogo zake pembeni ndani ya Red carpet
     Mwanvita makamba,Ankal, wife wa ankal na Gagalicious wa bongo wakipata picha ya pamoja.. this time gaga alitulia wakatia anapaka make up yake nahisi.. loooking so pretty!!
     Wageni waalikwa mbali mbali wakita tayari kwa Onyesho la Mavazi lililomshirikisha balozi wa TMH Flaviana Matata
     Mwendeshaji wa Shughuli  alikuwa Taji Liundi....
    Muanzilishi na  Mwenyekiti wa TMH Khadija Mwanamboka akitoa neno la shukrani kwa wageni kuitika wito na kufungua rasmi  Onyesho  La Mavazi

    Ubunifu wa Zamda George : Model Balozi wa TMH Flaviana Matata

    Ubunifu wa Franko Designs Model: Mwinyi Goha

    Ubunifu wa Subira Wahure Model : Flaviana Matata
     Mbunifu Ally Remtullah akiwa ndani ya Shati la Gunia  lililobuniwa na Khadija Mwanamboka
     Ubunifu wa Jamila Swai: model: Victoria Martin
     Ubunifu wa Paka Wear: model: Daxx Hassan
    Ubunifu wa Gabriel Mollel: Model Jamila Nyangasa
    Ubunifu wa Dayana Magese: Model Hidaya Maeda
     Ubunifu wa Mustafa Hassanali: model: Eva
     Ubunifu wa Manju Msita: model: Om Josh
     Ubunifu wa Kim Dean: Model Balozi wa REDD'S Consolatha Lukosi
     Ubunifu wa Farha Sultan:Model Flaviana Matata(balozi wa TMH) gauni hili lilinunuliwa kwa shilingi Milioni Mbili na Anitha Msangi Rwehumbiza - Asante Sana
     Ubunifu wa Bianca:Model: Giver Meena
     Wakati huo huo...Balozi wa TMH Flaviana Matata alipata nafasi ya kuzungumza na watanzania pamoja na kuwashukuru kwa kujumuika pamoja usiku huu katika kuchangisha Fedha kwa ajili ya kununua gari la watoto.. anatambua nini maana ya Yatima na ameamuaa kutumia likizo yake kufanya kazi kwa jamii yake hapa nyumbani!!
     Mnada pia ulichukua nafasi yake ili kuwezesha kupatika fedha kwa ajili ya gari ya watoto...Shukurani za Dhati kwa  Mheshimiwa Mohammed Dewji kwa kununua gauni hiyo kwa shilingi Milioni mbili.... Mwenyezi Mungu akuongezee maradufu pale ulipopunguza maana ukileta kwa jamii inayohitaji!!
     Vodacom Foundation nao walinunua gauni iliyovaliwa  na Flaviana Matata kwa Shilingi Milioni Tano na wala hawakulichukua ila tu ilikuwa ni njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto wa TMH.
     CEO wa Bang magazine akipokea tuzo kwa kuisupport Tanzania Mitindo House Tangu kuanzishwa kwake!!
    Mmiliki wa 8020fashions shop na blog ya 8020fashions akipokea tuzo pia kwa kuisupport TMH...

    Kuwashukuru wafuatao kwa mchango wao wa Khali na Mali katika kufanikisha onyesho hili la uchangishaji wa fedha na kiasi cha shilingi milioni 24 zilipatikana,
    VODACOM TANZANIA LIMITED  na REDD'S wao wakiwa ndio wadhamani  wakuu wa Onyesho hili na Support ya kutosha kutoka kwa
    1. WABUNIFU WOTE WALIOSHIRIKI ONYESHO LA MAVAZI
    2. ALLY REMTULLAH NA HEMED SULEIMAN
    3. MHESHIMIWA JANUARY MAKAMBA
    4. I-VIEW MEDIA
    5. BENCHMARK PRODUCTIONS
    6.  BWANA PETER NGAIZA
    7. KIONDO COMMUNICATIONS INTERNATIONAL
    8. CLOUDS ENTERTAINMENT
    9. UHURU ONE
    10. BancABC
    11. AZANIA BANK LTD
    12. SUMMER TRENDS
    13. ABLA APARTMENTS
    14. 8020 FASHIONS
    15. EFFCO PTY LTD
    16.  DR DAVID ZAKARIA
    17. WOMEN IN POWER(WIP)
    18. AMINA DESIGN
    19. VIJANA ZAIDI
    20. NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND
    21. FRONT LINE MANAGEMENT
    22. DOUBLE TREE BY HILTON
    23. FIDERINE IRANGA
    24. JENIFA PEMBA
    25. UNIQUE PEARL COLLECTION
    26. JESTINA GEORGE
    27. TAJI LIUNDI
    28. NOREEN KASSAMALI
    29. MR MAJUTO OMARY
    30.  BLOGGERS AND TV STATIONS

    0 comments: