TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Thursday, April 14, 2011

    MWANAMITINDO ANNA ROBYN DAUDI - STYLE MOTO MOTO APRIL

     ANNA ALIANZA SAFARI YAKE YA UWANAMITINDO MWAKA 2007 ONYESHO LA KWANZA  LA TANZANIA MITINDO HOUSE - WATOTO FASHION EXTRAVAGANZA COCO BEACH

    SWALI:TMH- KWANANINI UNAPENDA MODELLING?
    JIBU:ANNA - Napenda modelling kwasababu napenda kujiamini,mitindo,ubunifu , madaha na mbwembwe kwenye jukwaa
    SWALI:TMH- UNAPENDA RANGI GANI?
    JIBU:ANNA - Napenda rangi zote zinazowaka njano,kijani,pink
    SWALI:TMH - UNABEBA VITU GANI KILA SIKU KWENYE POCHI YAKO?
    JIBU:ANNA - Nabeba Simu,Wallet,Body mist,Camera,Hand&Body lotion na Lipgloss

                               SWALI:TMH - UNAIELEZEAJE MAONYESHO YA STYLE MOTO MOTO?
    JIBU:ANNA - Ni idea nzuri sana katika kupanua sekta ya mitindo nchini, mimi binafsi ninajifunza mambo mengi ya mitindo na pia kupata ajira kama mwanamitindo.

    STYLE MOTO MOTO IS PROUDLY BROUGHT TO YOU BY TANZANIA MITINDO HOUSE INCOLLABORATION WITH I-VIEW MEDIA
     AND
     SPONSORED BY VODACOM,REDD'S,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS,MIMI'S COLLECTION,DOUBLE TREE BY HILTON,BEAUTY TRENDZ TANZANIA AND UNIQUE PEARL COLLECTION

    0 comments: