TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Sunday, April 17, 2011

    MBUNIFU FARHA SULTAN AONGELEA COLLECTION YAKE MPYA YA SUNFLOWER

                                FARHA SULTAN - RED CARPET STYLE MOTO MOTO MARCH

    SWALI:TMH - KWANINI UNAPENDA FANI YA UBUNIFU WA MAVAZI?
    JIBU:FARHA - Fani ya ubunifu ipo kwenye damu yangu naipenda sana. Napenda kuona mtu amevaa nguo imemkaa vizuri na imempendeza.

    SWALI:TMH - UMETUMIA VITAMBAA VYA AINA GANI KATIKA KUTENGENEZA COLLECTION YAKO YA SUNLFOWER?
    JIBU:FARHA - Katika SUNFLOWER Collection kitambaa kinacho tawala ni Kitenge ila nimechanganya na vitambaa vingine kama Sequince, Lace na Kitamba cha mpira. Na rangi inayotawala ni Njano.
     

    SWALI:TMH - UNAPENDA RANGI GANI?
    JIBU:FARHA - Napenda rangi ya Grey, Red na Black

    SWALI:TMH - VITU UNAVYOBEBA KWENYE POCHI YAKO KILA SIKU?
    JIBU:FARHA - Nabeba Powder,Foundation,Simu,Lipstick,Parfum na Wallet


    FARHA AKIWA NA MUIGIZAJI HEMED SULEMAN KWENYE JUKWAA LA RED RIBBON 2010

    SWALI:TMH - UNALIONAJE ONYESHO LA STYLE MOTO MOTO?
    JIBU:FARHA - Onyesho la Style Moto Moto ni zuri sana kwa wabunifu, linatusaidia sana kujitangaza na kupata wateja wapya.

    SWALI:TMH - UNAUSHAURI GANI KWA WABUNIFU WACHANGA?
    JIBU:FARHA - Ushauri wangu kwa wabunifu wachanga wakaze buti katika fani hii, wasikate tamaa japo mwanzo ni mgumu sana na wajiweke karibu na wabunifu waliotangulia.Tukishirikiana wote TUTAFIKA,pia nawaomba watanzania watuunge mkono.

    FARHA  NA MBUNIFU MARTIN KADINDA -RED CARPET STYLE MOTO MOTO FEBRUARY

    0 comments: