TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:

TANZANIA MITINDO HOUSE SUPPORTERS:
Success Designs. Powered by Blogger.
  • Popular Posts

    Blog Archive

    About Me

    My Photo
    Dar Es Salaam, Tanzania
    Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
    Sunday, March 6, 2011

    YALIOJIRI KABLA YA ONEYSHO LA MAVAZI YA MAMAA MIA 4/3/2011 MOVENPICK HOTEL

                                                                BANGO YA STAGE       
                          Kaka kutoka kampuni ya 361 ambayo ndio ilishughulikia onyesho la mamaa mia
                                        Kijana Washington akiendelea na maandalizi ya MAMAA MIA
                      Kama kawaida Backstage Manager Martin Kadinda akiweka mambo sawa

       Hamis akiwa mstari wa mbele kuhakikisha kila kitu kiko sawa kabla ya onyesho la MAMAA MIA
      Wanamitindo Wakiwasili Movenpick tayari kwa Mazoezi  na Kupodolewa na DA REHEMA
                                   Wanamitindo Wakipozi na Mkufunzi wao Martin kabla ya onyesho
                                             Mwanamitindo Kabula akijaribu Vazi la Mbunifu Farouk Abdela

     Fashionista Warda Walid kabla ya kupodolewa- warda alijitolea kumodel ili  kusupport kampeni ya  UZAZI SALAMA KWA KINA MAMA TANZANIA
                                                         Warda akipodelewa na DA REHEMA
                                                Warda tayari kupanda jukwaa la MAMAA MIA
                                                 
                              TMH TUNASEMA BIG UP MUSTAFA HASSANALI
     NA WADHAMINI VODACOM FOUNDATION - PAMOJA DAIMA NA MITINDO
                                                        

    0 comments: