Success Designs. Powered by Blogger.
Popular Posts
-
(L-R) FARHA SULTAN-FRANKO SHIRIMA-KHADIJA MWANAMBOKA-ASIA IDARIOUS
-
UBUNIFU WA JAMILA VERA SWAI HIDAYA ANASEMA ANAPENDA SANA FASHION NA MODELLING UBUNIFU WA GABRIEL MOLLEL UBUNIFU WA GABRIEL MOLLEL HIDAYA A...
-
DESIGNED BY ASIA KHAMSIN
Blog Archive
- August (1)
- June (1)
- February (5)
- December (2)
- November (4)
- October (5)
- September (1)
- August (3)
- July (6)
- June (3)
- May (5)
- April (1)
- March (4)
- February (4)
- January (8)
- December (7)
- November (10)
- October (22)
- September (24)
- August (20)
- July (18)
- June (9)
- May (18)
- April (14)
- March (18)
- February (16)
- January (22)
- December (24)
- November (19)
- October (16)
- September (5)
- August (11)
- July (7)
- June (25)
- May (24)
- April (26)
- March (25)
- February (7)
- January (1)
About Me
- Tanzania Mitindo House
- Dar Es Salaam, Tanzania
- Tanzania Mitindo House (TMH) is a Non-Governmental Organisation (NGO) with ,a main purpose of using the fashion Industry to reach out to the community through charity work.
Thursday, March 17, 2011
MAHOJIANO KATI YA TMH NA BALOZI WAO FLAVIANA MATATA - 15 MARCH 2011
FLAVIANA AKIONYESHA UBUNIFU WA CHICHIA LONDON
SWALI:TMH - FLAVIANA HONGERA SANA KWA KUPATA TUZO YA ARISE MODEL OF THE YEAR TUNAAMINI NI HESHIMA KUBWA KWAKO NA KWA NCHI YAKO UNAJISIKIAJE KUCHAGULIWA MSHINDI?
JIBU: FM- Najisikia furaha sana na ninamshukuru mungu kwa wale wote walionipa ushirikiano tokea mwanzo mpaka kufikia hapa nilipo.
SWALI:TMH - UNGEPENDA UFIKIE MALENGO YAPI BAADA YA MIAKA MITANO?
JIBU:FM - Kwakweli malengo yangu ni mengi lakini kwa upande wa fani yangu ningependa kufikia kilele kwa kuwa mwanamitindo anaetambulika ulimwenguni na pia kuheshimika. Ningependa kuwa "role model" yaani mfano wa kuigwa na wasichana wa kiafrika ili waweze kuamini kuwa ndoto yao inaweza kuwa kweli, haijalishi ni ile ya kuwa mwanamitindo,daktari au mhandisi.
KWA KUENDELEA KUSOMA MAHOJIANO HAYA BOFYA INTERVIEWS PALE JUU

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment